Siku ambayo gari langu liliibwa ilikuwa moja ya siku ngumu zaidi maishani mwangu. Nilikuwa nimesimama kwa dakika chache tu kununua kitu kidogo.
Nilidhani nitarejea haraka, lakini niliporudi pale nilipoiacha gari, haikuwepo.
Mwanzoni nilidhani labda nimehama sehemu nyingine, lakini baada ya kuzunguka eneo lote, niligundua ukweli mchungu gari langu lilikuwa limeibwa. Hofu ilianza kunijaa.
Nilikwenda kuripoti polisi mara moja. Walichukua taarifa, namba ya gari, na maelezo yote muhimu. Mwanzoni nilikuwa na matumaini makubwa kwamba lingeweza kupatikana haraka. Lakini siku zikaanza kupita bila taarifa yoyote.
Wiki moja ikapita. Kisha mbili. Kila nilipopiga simu au kufuatilia, nilikuwa naambiwa bado wanafanya uchunguzi.

Kwa kweli nilianza kuchoka kihisia na kiakili. Gari lile halikuwa tu mali lilikuwa sehemu muhimu ya maisha yangu na kazi yangu ya kila siku.
Kilichoniumiza zaidi ni maneno ya baadhi ya watu waliokuwa wakiniambia labda silipati tena. Nilianza kukata tamaa kidogo kidogo. Nilikuwa nikijiuliza kama nilipoteza mali yangu kabisa bila matumaini ya kuipata tena.SOMA ZAIDI.

Post a Comment