Kulikuwa na kipindi ambacho nilianza kuishi kwa stress kila asubuhi kwa sababu ya mtoto wangu. Mwanzoni alikuwa anapenda shule sana.
Aliamka mapema, alifurahia marafiki zake, na kila siku alikuwa anarudi nyumbani akiwa na stories za darasani.
Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika kwa namna ambayo sikuielewa. Alianza kukataa kwenda shule. Mwanzoni nilidhani ni uvivu wa kawaida wa watoto. Lakini hali ilizidi kuwa mbaya.
Kila asubuhi alikuwa analia, kukataa kuvaa uniform, na wakati mwingine hata kujificha ndani ya nyumba ili asipelekwe shule.

Kwa kweli nilianza kupata wasiwasi. Nilizungumza na walimu wake wakidhani labda kuna tatizo darasani.
Lakini hata wao walishangaa. Waliniambia alikuwa amebadilika kabisa. Alikuwa kimya sana, hakushiriki vizuri darasani, na mara nyingi alionekana mwenye mawazo mengi. Kilichoniumiza zaidi ni kuona mtoto wangu akipoteza furaha.
Nilijaribu kuzungumza naye mara nyingi lakini alikuwa hasemi wazi kilichokuwa kinamsumbua. Polepole hata masomo yake yakaanza kushuka, jambo ambalo liliniumiza moyo sana kama mzazi. Kulikuwa na usiku nilikosa usingizi nikijiuliza nilikuwa nakosea wapi.SOMA ZAIDI.

Post a Comment