Kuku wangu walikuwa sehemu muhimu ya maisha yangu. Nilikuwa nimeanza kufuga polepole kama njia ya kuongeza kipato cha familia.
Kila nilipouza mayai au kuku mmoja mmoja, nilihisi kama maisha yalikuwa yanaanza kusonga mbele kidogo. Lakini ghafla matatizo yalianza.
Usiku mmoja nilipoamka asubuhi kwenda banda la kuku, nilishtuka kuona kuku wawili hawapo. Mwanzoni nilidhani labda walitoka somehow au mbwa waliingia.
Usiku mmoja nilipoamka asubuhi kwenda banda la kuku, nilishtuka kuona kuku wawili hawapo. Mwanzoni nilidhani labda walitoka somehow au mbwa waliingia.
Lakini nilipoangalia vizuri, niligundua wazi walikuwa wameibwa. Nilihuzunika sana, lakini nikajipa moyo nikisema labda haitatokea tena.
Wiki mbili baadaye, jambo lile lile likatokea.
Safari hii kuku watatu walitoweka. Nilianza kukasirika sana.SOMA ZAIDI.
Wiki mbili baadaye, jambo lile lile likatokea.
Safari hii kuku watatu walitoweka. Nilianza kukasirika sana.SOMA ZAIDI.
Post a Comment