Nilivyowagundua Watu Waliokuwa Wakiiba Dukani Kwangu Baada ya Hasara ya Miezi Minne na CCTV Kushindwa Kusaidia

Kwa muda mrefu nilikuwa najivunia biashara yangu ndogo ya duka. Haikuwa kubwa sana, lakini ilikuwa inanisaidia kulisha familia yangu, kulipa bills, na hata kuweka akiba kidogo kwa ajili ya watoto wangu. Mwanzoni mambo yalikuwa yanaenda vizuri.

Wateja walikuwa wengi, bidhaa zilikuwa zinatoka vizuri, na nilikuwa na matumaini makubwa kuwa maisha yangu yangeendelea kubadilika. 

Lakini ghafla hali ilianza kubadilika kwa namna ambayo sikuielewa. Bidhaa zilianza kupotea. Mwanzoni nilidhani ni makosa ya hesabu.

Mara sukari imepungua, mara mafuta hayatoshi, mara pesa za mauzo haziendani na bidhaa zilizouzwa. Nilijipa moyo nikisema labda ni confusion ya kawaida ya biashara. Lakini kadri wiki zilivyopita, hasara ilianza kuwa kubwa.

Kila nilipohesabu stock, nilikuwa napata upungufu ambao haukuwa na maelezo.

Nilianza kushuku watu wa karibu, lakini sikuwa na ushahidi wowote. Kilichoniumiza zaidi ni kwamba biashara yangu ilianza kuyumba.

Faida ilianza kupungua sana. Wakati mwingine nilikuwa narudi nyumbani nikiwa nimevunjika moyo nikijiuliza kama nifunge biashara kabisa.
Nilijaribu kila njia.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post