Sikuwahi kufikiria kwamba siku moja ningesikia tena kutoka kwa mwanamke ambaye alinivunja moyo vibaya kiasi cha kunifanya niogope kupenda tena.
Tulikuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu. Nilimpenda kwa moyo wangu wote na nilikuwa nimejenga ndoto nyingi kuhusu maisha yetu ya baadaye. Nilikuwa naamini ndiye mtu ambaye ningetumia maisha yangu yote naye.
Mwanzoni kila kitu kilionekana kwenda vizuri. Tulikuwa karibu sana. Tulizungumza kila siku, tukicheka pamoja, na hata marafiki wa karibu walikuwa wanatuona kama watu ambao wangefika mbali pamoja. Kwa kweli nilikuwa nimewekeza moyo wangu wote kwenye mahusiano yale.
Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika. Alianza kuwa distant kidogo kidogo. Simu zikapungua. Messages zikawa za kawaida sana tofauti na zamani. Wakati mwingine nilipomtafuta alikuwa anasema yuko busy au anahitaji space kidogo.
Mwanzoni nilijipa moyo. Nilidhani labda alikuwa anapitia kipindi kigumu au pressure za maisha. Lakini kadri muda ulivyopita, moyo wangu ulianza kuhisi kuna kitu hakikuwa sawa.
Kilichoniumiza zaidi ni siku moja aliponiambia maneno ambayo sikuwahi kuyasahau. Aliniambia wazi kuwa hakuwa anataka kuendelea na mahusiano yetu tena. Kwa kweli nilihisi dunia yangu imesimama.SOMA ZAIDI.

Post a Comment