MAGEUZI YA BARKER YAIFANYA SIMBA SC KUONEKANA TENA YA KUTISHA

KOCHA Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, ameendelea kuvuna sifa kutoka kwa mashabiki na wadau wa soka nchini kutokana na namna alivyoibadilisha timu hiyo kwa muda mfupi tangu alipowasili Msimbazi. Barker amekuwa akifanya kazi kwa utulivu mkubwa, bila kelele nyingi wala presha za nje ya uwanja, huku akionyesha uwezo mkubwa wa kuirejesha Simba kwenye ushindani […]

The post MAGEUZI YA BARKER YAIFANYA SIMBA SC KUONEKANA TENA YA KUTISHA appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/WnM9qb8
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post