CLARA LUVANGA ANG’ARA TENA SAUDIA

NYOTA wa kimataifa wa Tanzania, Clara Luvanga ameendelea kukiwasha Saudi Arabia baada ya kuiongoza Al Nassr ya Wanawake kutwaa ubingwa wa Kombe la SAFF Women’s Cup kwa ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya watani wao wa jadi, Al Hilal katika fainali iliyopigwa Kingdom Arena. Katika mechi hiyo iliyokuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote mbili, […]

The post CLARA LUVANGA ANG’ARA TENA SAUDIA appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/jgTfs70
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post