Nilivyorejesha Furaha Maishani Baada ya Kuachwa na Mwanaume Niliyemsaidia Kila Kitu Mpaka Nikabaki Bila Amani

Nilikuwa naamini upendo wa kweli unahitaji kujitolea. Nilipokutana na mwanaume huyo, nilimpenda kwa moyo wangu wote. Tulianza maisha yetu tukiwa na ndoto kubwa. 

Wakati huo alikuwa anapitia changamoto nyingi za kifedha na maisha yake hayakuwa yamekaa sawa kabisa.

Kwa sababu nilimpenda, sikuona shida kumsaidia. Nilikuwa pembeni yake kila wakati. Kulikuwa na siku nilitoa pesa zangu kumsaidia kulipa bills. 

Nilimsaidia kuanzisha biashara ndogo. Wakati mwingine nilijinyima vitu nilivyohitaji ili kuhakikisha yeye yuko sawa.

Kwa kweli nilikuwa naamini siku moja tungejenga maisha mazuri pamoja. Mwanzoni alionekana kuthamini kila kitu nilichokuwa nafanya. 

Alikuwa mpole, mwenye maneno mazuri, na mara nyingi aliniahidi kuwa asingewahi kunisahau kwa namna nilivyokuwa nikimpigania.

Nilikuwa naamini mapenzi yetu yalikuwa yanaenda sehemu nzuri. Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika. 

Baada ya maisha yake kuanza kukaa sawa kidogo, alianza kuwa distant. Simu zilianza kupungua. Messages zikawa za kawaida tu.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post