Nilivyogundua Siri ya Mume Wangu Baada ya Kuanza Kuficha Simu Yake na Kubadilika Ghafla Bila Maelezo

Nilikuwa naamini ndoa yangu ilikuwa imesimama kwenye msingi wa kuaminiana. Mimi na mume wangu tulikuwa tumetoka mbali pamoja. 

Tulijenga maisha yetu hatua kwa hatua, tukapitia changamoto nyingi, na licha ya mabishano ya kawaida ya ndoa, nilikuwa naamini hakuna jambo ambalo lingeweza kututenganisha kirahisi.

Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika kwa namna ambayo sikuielewa. Mwanzoni ilikuwa ni vitu vidogo vidogo. 

Mume wangu alianza kubadilika taratibu. Simu yake ambayo zamani ilikuwa wazi kwangu ghafla ikaanza kuwa siri kubwa. Alianza kuiweka silent kila wakati.

Wakati mwingine alikuwa anatoka nje kuongea simu au kugeuza screen haraka kila nilipokuwa karibu. Mwanzoni nilijipa moyo. 

Nilisema labda ni stress za kazi au kuna jambo binafsi alikuwa anapitia. Sikutaka kuwa mtu wa kushuku kila kitu kwa sababu nilijua trust ni muhimu kwenye ndoa.

Lakini kadri siku zilivyopita, moyo wangu ulianza kukosa amani. Alianza kurudi nyumbani late mara kwa mara. Mazungumzo yetu yakapungua. Wakati mwingine alikuwa mkimya sana au mwenye hasira bila sababu ya kueleweka.

Nilipojaribu kumuuliza kama kuna shida, alikuwa anasema tu, “Hakuna kitu, umeanza mawazo mengi.” Kilichoniumiza zaidi ni namna nilivyoanza kujihisi peke yangu ndani ya ndoa yangu.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post