Nilivyopata Simu ya Kushangaza Kutoka Kwa Boss Wangu Baada ya Kufukuzwa Kazi na Kuambiwa Sitawahi Kurudi Tena

Sikuwahi kufikiria kwamba siku moja ningetoka kazini nikiwa sina kazi, sina matumaini, na sina hata uhakika wa kesho yangu. 

Kwa miaka mingi nilikuwa nimejituma sana kwenye kazi yangu. Nilikuwa nafika mapema, kufanya majukumu yangu kwa uaminifu, na hata kusaidia pale ambapo haikuwa lazima.

Watu wengi walinijua kama mfanyakazi wa kujituma ambaye hakupenda shida. Nilikuwa naamini kazi ile ilikuwa sehemu ya maisha yangu ya muda mrefu. Lakini ghafla kila kitu kilibadilika.

Kulikuwa na misunderstanding kubwa kazini iliyotokea ghafla. Kulikuwa na kosa ambalo lilitokea kazini, lakini kabla hata sijapata nafasi ya kujieleza vizuri, lawama nyingi zilianza kuelekezwa kwangu.

Mwanzoni nilidhani ukweli ungejulikana. Lakini mambo yaligeuka tofauti kabisa. Siku moja niliitwa ofisini kwa boss wangu. 

Nilikuwa na matumaini labda tungezungumza na kutatua mambo. Lakini nilibaki nimesimama kimya baada ya kuambiwa maneno ambayo sikuwahi kufikiria ningesikia.

Niliambiwa kuwa nilikuwa nimefukuzwa kazi. Kilichoniumiza zaidi ni maneno yaliyofuata. Boss wangu alinambia wazi kuwa hata nikijaribu kurudi siku nyingine, nafasi yangu ilikuwa imefungwa milele. Kwa kweli nilivunjika moyo.

Nilirudi nyumbani siku ile nikiwa nimechanganyikiwa. Nilikuwa na bills za kulipa, familia iliyokuwa inanitegemea, na sikuwa hata najua ningeanzia wapi. Wiki zilianza kupita. Nilijaribu kutafuta kazi nyingine lakini mambo hayakuwa rahisi.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post