Maisha yetu yalikuwa ya kawaida na yenye furaha. Mtoto wangu alikuwa mchangamfu, anacheza viuri mchana, anakula kawaida, na kila kitu kilionekana kwenda sawa.
Lakini ghafla hali ilianza kubadilika. Mwanzoni nilidhani ni jambo la kawaida kwa watoto. Alianza kulia sana usiku bila sababu ya kueleweka.
Nilimnyonyesha, nikambeba, nikambembeleza, lakini bado alikuwa analia kwa muda mrefu kiasi cha kutufanya tushindwe kulala. Kadri siku zilivyopita, hali ilizidi kuwa ngumu.

Kulikuwa na usiku analia kuanzia saa za usiku hadi karibu alfajiri. Wakati mwingine alikuwa akishtuka usingizini ghafla na kuanza kulia sana kana kwamba kuna kitu kimemshtua.
Kilichoniumiza zaidi ni kuona mtoto wangu akiteseka bila kuelewa tatizo ni nini. Mchana alikuwa anaonekana sawa kiasi, lakini jioni ilipofika nilianza kupata wasiwasi kwa sababu nilijua usiku ungekuwa mgumu tena. Familia yangu nayo ilianza kuchoka. Mimi na mume wangu tulikuwa tunakosa usingizi kila siku.
Watu wa karibu walikuwa wanatoa maoni tofauti tofauti. Wengine waliniambia ni kawaida ya watoto, wengine walikuwa na mawazo yao ambayo yalinizidisha confusion.

Kwa kweli nilianza kuvunjika moyo. Kulikuwa na usiku nililia kimya nikimuangalia mtoto wangu nikijiuliza ni nini kilikuwa kinaendelea.SOMA ZAIDI.
Post a Comment