Kulikuwa na kipindi ambacho nilianza kuhisi ndoa yangu ilikuwa ikibadilika polepole mbele ya macho yangu.
Mimi na mume wangu tulikuwa tumependana sana tangu mwanzo wa ndoa yetu. Tulikuwa marafiki wazuri, tulizungumza kila kitu, na nyumba yetu ilikuwa imejaa furaha.
Lakini kadri miaka ilivyopita na majukumu kuongezeka, mambo yalianza kubadilika kwa namna ambayo sikuitarajia. Mwanzoni nilidhani ni uchovu wa kawaida wa maisha.
Mume wangu alikuwa busy sana na kazi, nami pia nilikuwa na majukumu mengi nyumbani. Tulianza kuchoka haraka, mazungumzo yakapungua, na ule ukaribu tuliokuwa nao zamani ukaanza kupotea taratibu.
Kilichoniumiza zaidi ni kuona jinsi tulivyoanza kuwa mbali emotionally. Tulikuwa tunaishi nyumba moja lakini kila mtu alikuwa kama yuko kwenye dunia yake.

Mara nyingi tulikuwa kimya sana jioni. Furaha ya kawaida nyumbani ilianza kupungua, na hata mabishano madogo yakaanza kuongezeka.SOMA ZAIDI.
Post a Comment