Nilivyopata Visa Yangu Baada ya Kukataliwa Mara Mbili na Karibu Kuamini Safari Yangu ya Ndoto Haiwezekani

Safari ya kwenda nje ya nchi ilikuwa ndoto yangu ya muda mrefu. Kwa miaka mingi nilikuwa nikitamani kupata nafasi ya kusafiri kwa ajili ya kazi na maisha bora. 

Nilikuwa nimejiandaa vizuri, nikahifadhi pesa kidogo kidogo, na kila siku nilikuwa na matumaini kuwa siku moja ndoto yangu ingetimia.

Lakini mambo hayakuwa rahisi kama nilivyofikiria. Mara ya kwanza nilipoapply visa, nilikuwa na confidence kubwa. 

Nilijaza forms, nikakusanya documents zote nilizoambiwa, na nikasubiri kwa matumaini makubwa.

Lakini majibu yalipokuja, moyo wangu ulivunjika. Visa yangu ilikuwa imekataliwa. Mwanzoni nilijipa moyo nikisema labda ni kawaida.

Nikajipanga tena kwa matumaini ya pili. Nilihakikisha nimeongeza documents nilizoambiwa ni muhimu na kufuata kila hatua vizuri zaidi.

Lakini kilichoniumiza zaidi ni kwamba hata mara ya pili nilikataliwa tena. Kwa kweli nilianza kukata tamaa. Watu wa karibu walikuwa wakiniambia labda safari ile haikuwa ya kwangu. 

Wengine waliniambia niache kupoteza pesa na muda. Kulikuwa na usiku nilikaa nikifikiria sana nikijiuliza nilikuwa nakosea wapi.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post