Sikuwahi kufikiria kwamba siku moja ningesikia tena sauti yake baada ya namna tulivyoachana.
Tulikuwa tumepitia mengi pamoja. Nilimpenda kwa moyo wangu wote na nilikuwa nimejenga ndoto nyingi kuhusu maisha yetu ya baadaye.
Siku moja alinambia wazi kuwa hakutaka kuendelea tena na uhusiano wetu.
Aliondoka bila hata kuonekana kuguswa na maumivu yangu. Nilijaribu kuzungumza naye, kuomba hata closure, lakini alinifungia kila mahali.

Nilikuwa naamini ndiye mtu ambaye ningetumia maisha yangu yote naye. Lakini kila kitu kilibadilika ghafla.
Baada ya misunderstandings nyingi na ugomvi wa mara kwa mara, alianza kubadilika. Simu zikapungua, messages zikawa za baridi, na muda mwingi alianza kuwa mbali nami emotionally.
Kilichoniumiza zaidi ni namna alivyoniacha.
Baada ya misunderstandings nyingi na ugomvi wa mara kwa mara, alianza kubadilika. Simu zikapungua, messages zikawa za baridi, na muda mwingi alianza kuwa mbali nami emotionally.
Kilichoniumiza zaidi ni namna alivyoniacha.
Siku moja alinambia wazi kuwa hakutaka kuendelea tena na uhusiano wetu.
Aliondoka bila hata kuonekana kuguswa na maumivu yangu. Nilijaribu kuzungumza naye, kuomba hata closure, lakini alinifungia kila mahali.
Nilivunjika moyo vibaya sana. Kwa miezi mingi nilikuwa nalia kimya. Kila nilipoona couples wenye furaha nilikuwa najikuta nikimkumbuka.
Marafiki waliniambia niendelee na maisha, lakini ukweli ni kwamba sikuwahi kuacha kumpenda kabisa. Kilichoniumiza zaidi ni kusikia alikuwa ameendelea na maisha yake kana kwamba mimi sikuwa na maana yoyote kwake. Miaka miwili ilipita.

Nilijaribu kujifanya niko sawa, lakini ndani yangu bado kulikuwa na maumivu.SOMA ZAIDI.
Post a Comment