Kwa muda mrefu nilikuwa mtu ambaye nilipendwa na watu wengi. Nilikuwa na marafiki wa karibu, mahusiano mazuri kazini, na hata kwenye familia watu waliniona kama mtu wa amani. Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika kwa namna ambayo sikuielewa.
Mwanzoni nilianza kuona marafiki zangu wamekuwa wa tofauti.
Watu ambao zamani walikuwa wananitafuta kila siku wakaanza kuwa mbali. Messages zilipungua, baadhi hawakupokea simu zangu kama zamani, na kila nilipouliza kama kuna shida, walikuwa wakisema kila kitu kiko sawa.

Lakini moyoni nilijua kuna kitu hakikuwa sawa. Kilichoniumiza zaidi ni kwamba baadhi ya watu walikuwa wanaanza kunitazama tofauti.
Kulikuwa na siku niliingia sehemu na nikahisi mazungumzo yamekatika ghafla. Wakati mwingine nilikuwa nasikia uvumi wa mambo ambayo sikuwahi kufanya wala kusema.
Nilianza kuumia sana.
Kulikuwa na siku niliingia sehemu na nikahisi mazungumzo yamekatika ghafla. Wakati mwingine nilikuwa nasikia uvumi wa mambo ambayo sikuwahi kufanya wala kusema.
Nilianza kuumia sana.
Nilijiuliza mara nyingi nimekosea nani. Nilikuwa nalala nikifikiria sana kwa nini watu walikuwa wamebadilika ghafla kiasi kile.SOMA ZAIDI.
Post a Comment