Nilivyopata Promotion Kazini Baada ya Miaka Mitatu ya Kupuuzwa na Watu Waliokuja Baada Yangu Kupandishwa Vyeo Kwanza

Kwa miaka mingi nilikuwa najituma sana kazini. Nilikuwa nafika mapema, kufanya kazi zangu kwa uaminifu, na kuhakikisha kila jukumu nililopewa linamalizika vizuri.

 Nilikuwa naamini siku moja juhudi zangu zingetambuliwa. Lakini kadri miaka ilivyopita, matumaini yangu yalianza kupungua.

Kilichoniumiza zaidi ni kuona watu waliokuja kazini baada yangu wakianza kupandishwa vyeo mmoja baada ya mwingine huku mimi nikibaki pale pale. 

Wengine walikuwa hata wananiuliza maswali ya kazi kwa sababu nilikuwa na experience zaidi yao lakini mwisho wa siku wao ndio walikuwa wanapewa nafasi nzuri.
Kwa kweli iliniuma sana.

Kulikuwa na siku nilikuwa narudi nyumbani nikiwa nimevunjika moyo kabisa. Nilianza kujiuliza kama kuna kitu nilikuwa nafanya vibaya au kama juhudi zangu hazikuwa zinaonekana kabisa. Nilijaribu kujiongeza zaidi.

Nilifanya kazi kwa bidii zaidi, nikajifunza mambo mapya, na hata kujitolea kusaidia sehemu nyingine kazini ili kuonyesha uwezo wangu. 

Lakini bado mambo yalionekana kusimama. Polepole nilianza kupoteza matumaini.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post