Sikuwahi kufikiria kwamba siku moja mume wangu angeondoka nyumbani bila maelezo ya kueleweka na kuniacha kwenye hofu kubwa kiasi kile.
Tulikuwa tumeishi pamoja kwa miaka kadhaa. Kama ndoa nyingine, tulikuwa na changamoto zetu, lakini nilikuwa naamini bado tulikuwa tunapendana na kujitahidi kuijenga familia yetu.
Lakini ghafla mambo yakabadilika. Mume wangu alianza kuwa mtu wa tofauti. Alikuwa mkimya sana, mwenye mawazo mengi, na wakati mwingine alikuwa anakaa mbali nami kana kwamba kuna kitu kilikuwa kinamsumbua lakini hataki kusema. Mwanzoni nilijipa moyo.
Nilidhani labda ni stress za kazi au changamoto za maisha. Nilijaribu kuzungumza naye mara kadhaa, lakini kila nilipouliza kama kuna shida, alikuwa anasema tu, “Niko sawa.” Lakini siku moja jambo la kushangaza lilitokea. Alitoka asubuhi kama kawaida na hakurudi jioni.
Nilimpigia simu mara nyingi, haikupatikana. Nilifikiria labda amechelewa kazini. Lakini usiku ulipofika na bado hajarudi, moyo wangu ulianza kujaa hofu. Siku moja ikapita. Kisha siku mbili.
Wiki moja.

Hakuna maelezo ya kueleweka. Familia yake nayo ilianza kuwa na wasiwasi. Wengine walikuwa wakinipa maneno tofauti tofauti.
Kuna waliodhani ameondoka kwa hasira, wengine wakasema labda kuna jambo alikuwa anapitia kimya kimya. Kwa kweli niliteseka sana.SOMA ZAIDI.

Post a Comment