Kwa miaka mingi nilikuwa naishi na maumivu ambayo si rahisi kuelezea. Kila nilipoona watu wakisherehekea ujauzito au watoto wao, nilijikuta nikitabasamu kwa nje lakini moyoni nikiumia sana.
Ndoto yangu kubwa ilikuwa kuwa mama, lakini kadri miaka ilivyopita, matumaini yangu yalizidi kufifia.
Nilijaribu kila nilichoweza. Nilitembea hospitali tofauti, nikafanya vipimo vingi, na kufuata matibabu niliyoelekezwa.

Kila nilipoambiwa “endelea kuwa na matumaini,” nilijikaza. Lakini kila mwezi ulipopita bila mabadiliko, machozi yangu yaliongezeka.
Kilichoniumiza zaidi ni maneno ya watu. Wengine walikuwa wanauliza maswali ya kuumiza bila kujua ninachopitia.

Wengine walikuwa hata wakinipa pressure ya kutafuta suluhisho haraka. Ndoa yangu nayo ilianza kuathirika kimya kimya kwa sababu ya huzuni niliyokuwa nayo.
Siku moja baada ya miadi nyingine hospitalini, nilitoka nikiwa nimevunjika moyo kabisa. Nilihisi kama ndoto yangu ilikuwa inaondoka polepole. Ilikuwa mara ya kwanza nilifikiria kukubali tu kuwa labda sitawahi kupata mtoto. SOMA ZAIDI.........................

Post a Comment