Nilivyopata Amani Baada ya Ndoto za Kutisha Kuanza Kunitesa Kila Usiku na Kunifanya Niogope Kulala

Kwa muda mrefu nilikuwa mtu wa kawaida tu ambaye alifurahia kurudi nyumbani jioni, kula chakula cha jioni, na kupata usingizi wa amani. Lakini ghafla maisha yangu yalianza kubadilika kwa namna ambayo sikuielewa. Ilianza taratibu.

Usiku mmoja niliota ndoto ya kutisha sana kiasi kwamba niliamka nikitetemeka. Mwanzoni nilipuuzia nikijua kila mtu huota ndoto mbaya wakati mwingine.

Lakini siku zilizofuata hali ilianza kuwa tofauti.
Karibu kila usiku nilikuwa naota ndoto zilizoniacha na hofu kubwa. Wakati mwingine nilikuwa naamka ghafla katikati ya usiku moyo ukidunda kwa nguvu, nikashindwa hata kurudi kulala. Nilianza kuogopa kufunga macho.

Kilichoniumiza zaidi ni jinsi hali ile ilianza kuathiri maisha yangu ya kawaida. Asubuhi nilikuwa naamka nimechoka kana kwamba sikulala kabisa. 

Kazini nilikuwa nakosa concentration, nilianza kuwa mwenye hasira za haraka, na hata watu wa karibu waligundua nilikuwa nimebadilika.

Polepole nilianza kuishi na wasiwasi kila jioni ilipofika. Nilikuwa nikikaa sebuleni hadi usiku sana kwa sababu sikuwa natamani kwenda kitandani. 

Wakati mwingine nilikuwa nawasha taa au TV ili nisihisi ule ukimya wa usiku uliokuwa umeanza kuniogopesha. Nilijaribu mbinu nyingi.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post