Nilijiona mrembo lakini nilihisi kuna kifungo kimezuia nyota yangu ya ndoa ising’ae

Maisha wakati mwingine yanaweza kuwa ya kejeli sana, hasa unapokuwa mwanamke unayejitambua, mwenye kazi yako nzuri, na unayejiheshimu lakini linapokuja suala la mwanaume wa kukuoa, unajikuta unapuyanga kama kuku aliyekatwa kichwa. 

Naitwa Magreth, binti niliyeishi maisha yangu yote nikiamini kuwa ukiishi kwa maadili, mume sahihi atakuja tu bila shida.

Lakini ilipofika umri wa miaka 36, nikaanza kuona dalili za hatari. Kila mwanaume niliyekuwa naye alikuwa akija kwa ajili ya starehe tu, na akishamaliza shida zake anatokomea gizani.

Nilianza kuitwa mzee wa kanisa na majirani zangu kwa sababu nilikuwa nakesha nikiomba mume, lakini wapi! Nilihisi kama kuna giza nene limefunika uso wangu kiasi kwamba wanaume wenye nia ya dhati walikuwa hawanioni kabisa.

Niliishi kwa huzuni kubwa kwa zaidi ya miaka kumi nikitafuta mwenza wa maisha. Nimezunguka kwa kila aina ya wachungaji na kuingia kwenye maombi ya kufunga kwa siku 40 mara kadhaa, lakini hali ilibaki kuwa ileile.

Nilijikuta nikitengwa na marafiki zangu ambao wote walikuwa tayari kwenye ndoa zao na kuitwa mashahidi wa harusi za wengine, huku yangu ikiwa haijulikani itakuwa lini.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post