Ndani ya miezi sita tulifunga ndoa ya kifahari iliyokuwa gumzo jijini

Naitwa Benson, kijana ambaye nimefanikiwa sana katika taaluma yangu ya uhandisi wa kiraia hapa jijini Dar es Salaam. Kwa nje, kila mtu alikuwa akinitamani; nina mjengo wangu, nina gari la kisasa, na nina kipato kinachonifanya nisaidie ndugu na jamaa. Lakini ndani ya moyo wangu, kulikuwa na kidonda kisichopona.

Kwa zaidi ya miaka kumi, nimekuwa nikiingia na kutoka kwenye mahusiano, na kila mara mambo yalikuwa yanaishia kwenye hatua ya posa.

Nilishawahi kutoa posa kwa wanawake watatu tofauti kwa nyakati tofauti, lakini kila tulipokuwa tukianza maandalizi ya harusi, mambo yalikuwa yanaharibika bila sababu za msingi. 

Mara mchumba anapata chuki ya ghafla, mara wazazi wa upande wa pili wanakuja na masharti yasiyotekelezeka, au mwanamke anapotea kabisa na kuanza mahusiano na mwanaume mwingine.

Nilianza kuitwa “mzee wa posa” na marafiki zangu, huku wengine wakinizushia kuwa nina mke wa kijini anayezuia kila harusi yangu.

Nilitumia gharama kubwa sana kwa wataalam mbalimbali nchini Tanzania nikitafuta kusafishiwa nyota. Nilifikia hatua ya kuamini kuwa labda mafanikio yangu ndiyo yamebeba nuksi hiyo.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post