Nilivyookoa Harusi Yangu Baada ya Mchumba Wangu Kubadilika Ghafla Wiki Chache Kabla ya Siku Kubwa

Nilidhani nilikuwa nimefika mwisho wa safari yangu ya mapenzi. Maandalizi ya harusi yalikuwa yameanza vizuri, familia zote zilikuwa tayari, na kila kitu kilionekana kwenda sawa. 

Nilikuwa na furaha kwa sababu nilikuwa karibu kuanza maisha mapya na mtu niliyempenda kwa moyo wangu wote. Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika.

Wiki chache kabla ya harusi, mchumba wangu alianza kuwa tofauti kabisa. Simu zilipungua, messages zikawa za baridi, na kila nilipojaribu kuzungumza kuhusu mipango ya harusi alionekana kutokuwa interested kama zamani.

Mwanzoni nilijipa moyo nikisema labda ni pressure za maandalizi.

Lakini hali ilizidi kuwa mbaya. Alianza kughairi mipango ya pamoja, mara nyingine hakupokea simu zangu kabisa, na hata watu wa karibu wakaanza kuniuliza kama kweli mambo yalikuwa sawa kati yetu. 

Kilichoniumiza zaidi ni siku moja aliponiambia alikuwa confused na hajui kama bado alikuwa tayari kwa ndoa.

Maneno yale yaliniumiza sana. Nilianza kukosa usingizi. Kila usiku nilikuwa najiuliza nimekosea wapi. 

Familia yangu ilikuwa tayari imeshaanza maandalizi makubwa, na nilihofia aibu ambayo ingetokea kama harusi ingevunjika dakika za mwisho.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post