Sikuwahi kufikiria kwamba siku moja mimi na dada yangu tungefika mahali pa kutazamana kama wageni.
Kwa kweli ilinivunja moyo.
Mara nyingi nilitamani tu turudiane kama zamani, lakini nilikuwa sijui nianzie wapi. Kila nilipofikiria kumpigia simu, kiburi, maumivu, na hasira vilikuwa vinanizuia. Ilifika hatua nikaanza kuamini labda hatutawahi kuelewana tena.SOMA ZAIDI.
Tulikuwa tumekulia pamoja, tukashirikiana mengi, na kwa muda mrefu alikuwa mtu wangu wa karibu zaidi.
Watu walitujua kama ndugu ambao hawawezi kutengana kirahisi. Lakini kila kitu kilibadilika baada ya wazazi wetu kufariki.
Kilichoanza kama mazungumzo ya kawaida kuhusu mgawanyo wa mali ya familia kiligeuka kuwa chanzo kikubwa cha migogoro.

Kulikuwa na kutokuelewana kuhusu ardhi, nyumba ya wazazi, na baadhi ya vitu vilivyokuwa vimeachwa. Mwanzoni tulijaribu kuzungumza kama familia.
Lakini kadri muda ulivyopita, maneno makali yalianza kuingia.
Watu wa nje wakaingilia, wengine wakichochea migogoro kwa siri. Polepole uhusiano wetu ukaanza kuvunjika.

Kilichoniumiza zaidi ni siku ambayo dada yangu alinambia maneno ambayo sikuwahi kutarajia kuyasikia kutoka kwake.
Tangu siku hiyo, mawasiliano yakakatika kabisa.
Miaka mitatu ilipita bila kuongea.
Tulikuwa tunaonana kwenye shughuli za familia lakini kila mmoja alikuwa upande wake. Hakukuwa na salamu za maana, hakuna mazungumzo, na hata watoto wetu wakaanza kukua bila ule ukaribu tuliokuwa nao zamani.

Post a Comment