Nilivyomrudisha Mke Wangu Aliyeondoka na Watoto Baada ya Miezi Sita ya Kukataa Hata Kupokea Simu Zangu

Sikuwahi kufikiria kwamba siku moja ningerudi nyumbani na kukuta nyumba yangu ikiwa kimya kiasi kile. Kwa miaka mingi mimi na mke wangu tulikuwa tumepitia mengi pamoja.

Tulijenga familia yetu taratibu, tukabarikiwa watoto wazuri, na licha ya changamoto za kawaida za maisha, nilikuwa naamini bado tulikuwa tunapendana. Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika.

Mwanzoni tulianza kuwa na misunderstandings ndogo ndogo ambazo nilidhani zingepita. Ugomvi wa mara kwa mara ukaanza kuingia ndani ya nyumba yetu.

Mara ni stress za pesa, mara kutokuelewana kuhusu malezi ya watoto, na wakati mwingine mambo madogo yalikuwa yanageuka mabishano makubwa. Kadri muda ulivyopita, hali ilianza kuwa mbaya zaidi.

Mke wangu alianza kuwa distant. Mazungumzo yetu yakapungua. Furaha ya ndani ya nyumba ikaanza kupotea taratibu. Wakati mwingine nilikuwa narudi nyumbani na kukuta kila mtu yuko kimya.

Kwa kweli nilikuwa naumia lakini sikujua namna ya kurekebisha mambo. Kilichonishtua zaidi ni siku moja baada ya ugomvi mkubwa. 

Nilirudi nyumbani jioni nikakuta baadhi ya vitu havipo. Nilipoangalia vizuri, niligundua mke wangu alikuwa ameondoka pamoja na watoto.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post