UONGOZI wa Simba SC upo kwenye hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kumuongezea mkataba kiungo mshambuliaji, Clatous Chama, ili kuendelea kusalia ndani ya kikosi hicho cha Msimbazi. Taarifa zilizopo zinaeleza kuwa Chama yupo karibu kusaini mkataba mpya wa miaka miwili utakaomuweka Simba kwa muda mrefu zaidi, baada ya kuridhisha kwa kiwango chake bora alichoonyesha tangu […]
The post DILI LA CHAMA SIMBA LAFIKIA MWISHO appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/9rg6AnB
via IFTTT
Post a Comment