Nilivyomrudisha Ex Wangu Aliyeniambia Nisimsake Tena na Baadaye Kuanza Kunitafuta Mwenyewe Kila Siku Kama Zamani

Sikuwahi kufikiria kwamba mtu ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote angefika mahali pa kuniambia wazi kabisa nisimsumbue tena maishani mwake. 

Tulikuwa tumepitia mengi pamoja. Tulikuwa na mipango, ndoto, na hata watu wengi walijua kuwa sisi ni watu ambao hatungeachana kirahisi. Lakini kama ilivyo kwa mahusiano mengi, changamoto zilianza kuingia polepole.

Mwanzoni zilikuwa ni misunderstandings ndogo ndogo. Lakini kadri muda ulivyopita, ugomvi ukaongezeka. 

Maneno makali yakaanza kusemwa, hasira zikatawala, na mwisho wake tukatengana vibaya sana. Kilichoniumiza zaidi ni namna alivyonibadilika ghafla.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post