Nilivyomfanya Mwanaume Aliyenikataa na Kuniambia Sina Future Yake Kuanza Kunisaka Mwenyewe Baada ya Miezi Kadhaa

Sikuwahi kufikiria kwamba mtu ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote angefika mahali pa kuniambia wazi kuwa hakuniona kwenye maisha yake ya baadaye. 

Tulikutana kipindi ambacho maisha yangu yalikuwa mazuri sana. Tulikuwa karibu, tunazungumza kila siku, na kila kitu kilionekana kwenda vizuri.

Kwa kweli nilianza kuamini kuwa huenda ndiye mtu ambaye ningejenga naye maisha yangu.
Lakini ghafla mambo yakabadilika. 

Mwanzoni alianza kuwa distant kidogo. Simu zilianza kupungua, messages zikawa za kawaida tu, na muda tuliokuwa tunatumia pamoja ukapungua sana. Nilijipa moyo nikisema labda alikuwa busy au anapitia changamoto zake binafsi.

Lakini ukweli uliniuma sana. Siku moja nilipojaribu kuzungumza naye kuhusu future yetu, alinijibu kwa maneno ambayo sikuwahi kuyasahau. 

Aliniambia wazi kuwa hakuwa anaona future yoyote kati yetu. Kwa kweli nilivunjika moyo. Nilihisi kama dunia yangu imesimama. Nilijilaumu sana.

Nilianza kujiuliza kama nilikuwa sina thamani ya kupendwa au kama kuna kitu nilikuwa nimekosea. Kilichoniumiza zaidi ni kwamba muda mfupi baadaye alianza kuniepuka kabisa.

Aliacha kupokea simu zangu, messages zilikaa bila majibu, na hata nilipojaribu kumuona, alionekana kama hataki kabisa kuhusishwa nami. Polepole nilianza kupoteza confidence yangu.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post