Nilivyowagundua Watu Waliokuwa Wakinirushia Uchawi Baada ya Biashara Yangu Kuanza Kudorora Ghafla Bila Sababu ya Kueleweka

Kwa miaka mingi biashara yangu ilikuwa inanisaidia sana. Nilikuwa na duka ambalo lilikuwa na wateja wa kutosha kila siku. 

Haikuwa biashara kubwa sana, lakini ilinipa uwezo wa kulipa kodi, kusaidia familia, na hata kuweka akiba kidogo. Kila kitu kilikuwa kinaenda sawa.

Lakini ghafla mambo yakaanza kubadilika kwa namna ambayo sikuielewa.

Mwanzoni niliona wateja wameanza kupungua kidogo. Nilijipa moyo nikisema labda ni hali ya kawaida ya biashara. Kuna nyakati biashara hupanda na kushuka. 

Lakini baada ya muda hali ilianza kuwa ya kushangaza. Kulikuwa na siku nilifungua duka asubuhi hadi jioni bila kuuza kitu cha maana. Wateja waliokuwa wa kawaida walikuwa wanapita tu bila kuingia.

Wengine walikuwa wanaingia, kuangalia bidhaa, halafu kutoka bila sababu. Kilichoniumiza zaidi ni kuona maduka ya jirani yakiwa busy huku yangu ikiwa kimya. 

Nilianza kujiuliza nilikuwa nakosea wapi. Nilijaribu kubadilisha mpangilio wa bidhaa. Nikapunguza bei kidogo. Nikaanza hata kutoa offers kwa baadhi ya bidhaa ili kuvutia watu. Lakini bado mambo hayakuwa yanabadilika.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post