Biashara yangu ilikuwa kila kitu kwangu. Nilikuwa nimewekeza muda, nguvu, na pesa nyingi kuhakikisha mambo yanaenda sawa.
Kila siku nilikuwa naamka mapema kufungua biashara yangu kwa matumaini ya kupata wateja wa kutosha ili niweze kuendesha maisha yangu vizuri na kusaidia familia yangu.
Mwanzoni mambo yalikuwa mazuri. Wateja walikuwa wengi kiasi. Kila siku nilikuwa na mauzo ya kunipa matumaini.
Mwanzoni mambo yalikuwa mazuri. Wateja walikuwa wengi kiasi. Kila siku nilikuwa na mauzo ya kunipa matumaini.
Nilikuwa hata nimeanza kupanga namna ya kupanua biashara yangu kidogo kidogo kwa sababu niliona mwanga wa mbele.
Lakini ghafla kila kitu kilibadilika. Wateja wakaanza kupungua taratibu. Mwanzoni nilidhani ni hali ya kawaida ya biashara.
Lakini ghafla kila kitu kilibadilika. Wateja wakaanza kupungua taratibu. Mwanzoni nilidhani ni hali ya kawaida ya biashara.
Nikasema labda ni msimu mbaya na mambo yangerudi sawa baada ya muda. Lakini kadri wiki zilivyopita, hali ilianza kuwa mbaya zaidi.
Kulikuwa na siku nilienda kufungua biashara asubuhi hadi jioni bila kuuza kitu cha maana. M-Pesa yangu ambayo zamani ilikuwa na transactions nyingi ilianza kukaa kimya.
Kulikuwa na siku nilienda kufungua biashara asubuhi hadi jioni bila kuuza kitu cha maana. M-Pesa yangu ambayo zamani ilikuwa na transactions nyingi ilianza kukaa kimya.
Simu haikupokea notifications kama zamani. Wakati mwingine nilikaa nikitazama biashara yangu kwa huzuni nikijiuliza nilikuwa nakosea wapi.SOMA ZAIDI.
Post a Comment