Nilivyofanya Biashara Yangu Ianze Kuonekana Baada ya Kukaa Miezi Bila Wateja na Kukaribia Kufunga Duka

Kufungua biashara ilikuwa ndoto yangu ya muda mrefu. Nilikuwa nimeweka akiba kwa miaka kadhaa ili siku moja niweze kujiajiri na kusaidia familia yangu kwa njia bora zaidi. 

Nilipofungua duka langu, nilikuwa na matumaini makubwa.

Mwanzoni nilijua mambo yangechukua muda kukaa sawa, hivyo nilikuwa mvumilivu. Lakini baada ya miezi michache, nilianza kuona hali ambayo sikuitegemea kabisa.

Wateja walikuwa wachache sana. Kulikuwa na siku nafungua duka asubuhi hadi jioni bila kuuza kitu cha maana. 

Mara nyingine nilikuwa narudi nyumbani na pesa kidogo sana kiasi hata cha kuongeza stock kilikuwa shida. Kilichoniumiza zaidi ni kuona biashara za jirani zikifanya vizuri huku yangu ikiwa kimya.

Nilikuwa najiuliza nilikuwa nakosea wapi. Nilijitahidi kuwa mpole kwa wateja, kupanga bidhaa vizuri, na hata kushusha bei wakati mwingine but bado mambo hayakuwa yanabadilika. 

Bills zilianza kunizidia. Kodi ya duka ilianza kunipa pressure. Watu wa karibu wakaanza kuniambia nifunge biashara kabla sijapata hasara kubwa zaidi.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post