KOCHA Mkuu wa Coastal Union, Fikiri Elias amesema mechi dhidi ya Simba ni wa malengo kwa timu hiyo, huku akitaja mkakati maalumu wa kumdhibiti, Clatous Chama ambaye amekuwa gumzo kwenye michezo minne iliyopita ya Ligi Kuu pamoja na ule wa Kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya TRA, juzi. Mchezo huo wa Ligi Kuu unatarajia […]
The post KOCHA COASTAL AKWEPA MTEGO WA CHAMA appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/VQ3JNhS
via IFTTT
Post a Comment