ENDAPO Simba itabeba mataji mawili yaliyobaki msimu huu lile la Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la CRDB, basi mastaa wa kikosi hicho watavuta mkwanja wa Sh1 bilioni. Hiyo ni ahadi kutoka kwa mwekezaji na rais wa heshima wa klabu hiyo, Mohamed Dewji ‘Mo Dewji’, baada ya hivi karibuni kukutana na kufanya nao kikao, […]
The post KISA UBINGWA KAMA ARSENAL…MO DEWJI ATIA NDIMU MASTAA SIMBA…. appeared first on Soka La Bongo.
from Soka La Bongo https://ift.tt/ILlrPT0
via IFTTT
Post a Comment