KAGERA SUGAR, GEITA GOLD KATIKA VITA YA KILELENI CHAMPIONSHIP

LEO utashuhudiwa utamu wa Ligi ya Championship ukiendelea katika viwanja mbalimbali, ila moja ya mechi inayosubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wengi ni ya vinara Geita Gold itakayokuwa ugenini dhidi ya Kagera Sugar. Mechi hiyo itakayopigwa Uwanja wa Kaitaba, Bukoba, inavuta hisia za mashabiki wa soka kutokana na nafasi za timu hizo mbili na gepu […]

The post KAGERA SUGAR, GEITA GOLD KATIKA VITA YA KILELENI CHAMPIONSHIP appeared first on Soka La Bongo.



from Soka La Bongo https://ift.tt/gu9NaSt
via IFTTT

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post