Kutoka kuvuna alizeti hadi kuwa tajiri wa kusambaza mafuta

 

Mkoani Singida, eneo lenye upepo na zao la alizeti, anaishi kijana mnyenyekevu anayeitwa Rashid. Kwa miaka mingi, Rashid alikuwa akifanya kazi ngumu ya kuvuna alizeti na kubeba magunia ya mbegu kwenye viwanda vidogo vya mafuta.

Licha ya kufanya kazi kwenye vumbi na jua, malipo yake yalikuwa ni ya kusuasua, yakitosha tu kulipia chumba kidogo alichoishi.

Rashid alikuwa na ndoto ya kumiliki lori lake la kusafirisha mafuta ya kula, hivyo alianza kubashiri soka (betting), akivutiwa na Ligi ya Poland (Ekstraklasa) kutokana na ushindani wa timu kama Lech Poznan na Legia Warsaw.

Hata hivyo, Rashid alikuwa na nuksi iliyomganda. Kwa zaidi ya miaka mitatu, kila mkeka alioweka ulikuwa unachanika dakika za mwisho.

“Nilihisi nimezungukwa na kuta za umaskini ambazo hazibomoki,” Rashid anasimulia. “Pesa yangu yote ya jasho la alizeti iliishia kupotea. Watu wa mtaani waliniita ‘Rashid wa Gundu’, na hata ndugu zangu walianza kunitenga wakidai sina baraka.”SOMA ZAIDI.....................

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post