Mwanamke aliyekataliwa na kila mwanaume alivyopata mume wa ndoto zake baada ya miaka 10

 

Jina langu ni Fatma, mkazi wa mkoa wa Pwani, Kibaha. Kwa miaka kumi, maisha yangu ya mahusiano yalikuwa ni majanga matupu. 

Kila mwanaume niliyempenda alikuwa ananiacha na kuoa mwanamke mwingine, wakati mwingine hata rafiki yangu wa karibu.

Nilijiona kama mimi ni daraja tu la wenzangu kuvuka kwenda kwenye furaha yao. Nilifikisha miaka 36 nikiwa nimekata tamaa ya kupendwa tena.

Wazazi wangu walikuwa na wasiwasi sana, hasa baba yangu aliyetamani kuniona nimeolewa kabla hajafariki. 

Nilikuwa na hofu kubwa ya kukosa watoto, maana kila mwaka ulikuwa unapita na kuacha alama usoni mwangu.SOMA ZAIDI..............

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post