Kutoka biashara ya kahawa hadi milionea wa usafiri Ziwa Tanganyika

 

Kijana mkarimu aitwaye Juma anatokea Kigoma, mkoa wa uliopo kando ya ufuo wa Ziwa Tanganyika, unajulikana kwa biashara ya mazao na uvuvi. 

Kwa miaka mingi, Juma alikuwa akijishughulisha na ununuzi wa kahawa kutoka kwa wakulima wadogo na kuiuza mjini, lakini changamoto za masoko na bei kuyumba zilimfanya aishi maisha ya kubahatisha.

Akiwa na ndoto ya kumiliki meli ndogo ya kusafirisha mizigo kwenda nchi jirani za Congo na Burundi, Juma alianza kuwekeza kiasi kidogo cha fedha zake kwenye michezo ya kubashiri, akivutiwa na Ligi ya Ubelgiji (Pro League) kutokana na timu kama Club Brugge na Anderlecht.

Hata hivyo, safari ya Juma haikuwa na maua. Kwa muda wa miaka mitano, alikuwa akishinda na kupoteza, lakini hasara ilikuwa kubwa kuliko faida. Kila alipobashiri, alikosa ushindi kwa goli moja tu au timu moja kupata sare isiyotarajiwa.

“Nilihisi kuna nguvu za giza zinazuia riziki yangu,” Juma anasimulia. “Kuna wakati niliweka mkeka wa timu 10, tisa zinashinda lakini ya 10 inafanya makosa dakika ya 90. Nilianza kuonekana kituko kwa marafiki zangu, wakidai napoteza pesa za kahawa kwenye ndoto zisizo na uhalisia.”

Hali ya kifedha ilizidi kuwa tete, na Juma alianza kuingia kwenye madeni makubwa ili aendelee na biashara yake. Akiwa katika dimbwi la mawazo, alikutana na mfanyabiashara mmoja kutoka Kalemie, Congo, aliyekuwa amefanikiwa sana.SOMA ZAIDI.................

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post