Nilihisi mume wangu anaanza kunichoka na kuanza kutafuta furaha nje

Naitwa Rose, mkazi wa mkoa wa Mbeya. Maisha yangu ya ndoa kwa miaka minane yalikuwa ya majaribu makubwa sana. 

Licha ya mume wangu kuwa mfamasia na mjuzi wa madawa ya hospitali, hakuweza kunisaidia mimi kupata mtoto.

Nilikuwa nimekunywa kila aina ya vidonge vya kuchochea mayai (hormones) lakini tumbo langu lilibaki kuwa gumu.

Hali ilikuwa mbaya kiasi kwamba nilifikia hatua ya kukata tamaa na kuanza kusikiliza masharti ya waganga wa kienyeji walionielekeza mambo ya ajabu, ikiwemo kunywa maji yaliyochanganywa na mambo ya kishirikina.

Nilikuwa naishi kwa aibu, kila sherehe ya kutoa mtoto (send-off au kicheni pati) ikifika, nilikuwa naenda kwa unyonge nikijua kabisa kuwa mimi niko tofauti na wanawake wenzangu.Soma Zaidi.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post