Bosi wa baa aliyekuwa akipata wateja wachache, sasa hivi ni tajiri mkubwa

Naitwa Amos, mkazi wa zamani wa maeneo ya Tengeru, Arusha. Kwa miaka mitano, niliwekeza nguvu na akili zangu zote kwenye biashara ya baa na burudani.

Nilikopa benki na kuongeza akiba yangu yote niliyokuwa nimeichuma kwa shida, nikiamini kuwa uuzaji wa vinywaji ndiyo ungekuwa ukombozi wangu.

Lakini mambo yalikuwa kinyume kabisa; baa yangu ilikuwa inajaa watu wanaokuja kusikiliza muziki na kuomba ‘ofafa’ (bia za bure), lakini uuzaji ulikuwa ni wa kusuasua kiasi cha kushindwa hata kulipa mishahara ya wahudumu.

Kila kukicha, nilikuwa napambana na kesi za watu kulewa na kufanya vurugu bila kununua chochote, huku kreti za bia zikishinda zimejaa vumbi nyuma ya kaunta. 

Nilihisi kuna mkosi umeniganda maana baa za majirani zilikuwa zinapata wateja hadi watu wanakosa pa kukaa, lakini kwangu ilikuwa kama pamepakwa dawa ya kufukuza watu.Soma Zaidi.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post