Balaa la mtanashati aliyekuwa akitolewa baru na kila mrembo anayemvutia

Naitwa Benson, kijana ambaye nimejaliwa kila sifa ya mwanaume anayetafutwa na wanawake wengi. Nina kazi nzuri kwenye kampuni ya bima, nina usafiri wangu na nilikuwa nimejipanga kimaisha kwelikweli. 

Lakini kulikuwa na kitu kimoja kilikuwa kinanishangaza na kuniumiza moyo; kila mwanamke niliyekuwa nikijaribu kumtongoza kwa ajili ya ndoa, alikuwa akinikataa kwa dharau au kunifanya rafiki wa kawaida (friendzone) kwa miaka mingi.

Kwa zaidi ya miaka nane, nimeishi maisha ya upweke huku kila rafiki yangu wa rika langu akiwa ameshaoza na kuanza kulea watoto. Nilianza kuitwa “kapera mzee” na marafiki zangu, na kila nikienda nyumbani kijijini, wazazi wangu walikuwa wakinitazama kwa jicho la huruma na mashaka, wakihisi labda nina tatizo la kiume au nimerogwa na ndugu wasiopendana.Soma Zaidi.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post