Aliniacha na kuhamia kwa mwanamke mwingine, lakini siku tatu baada ya tambiko la mapenzi alinipigia simu akilia kuniomba nirudi

Jina langu ni Rehema. Mimi ni mwanamke wa miaka 31 kutoka Mwanza, na kwa muda mrefu nilikuwa naamini kwamba mwanaume niliyekuwa naye ndiye angekuwa mume wangu. Tulikaa kwenye uhusiano kwa karibu miaka minne. 

Si unajua yale mapenzi ya mtu unaingia nayo kwa moyo wote. Unapanga naye maisha, mnazungumzia watoto, mnazungumzia nyumba, hata majina ya watoto mnayachagua kabla mambo yenyewe yatimie. Ndivyo ilivyokuwa kwangu.

Mwanzoni kabisa, huyo mwanaume alikuwa kila kitu nilichokuwa natamani. Alikuwa mpole, alikuwa anajua kuzungumza, na alikuwa mtu wa kunifanya nijione wa maana. 

Akiwa na shida, alinifuata mimi. Akiwa na furaha, alinipigia mimi. Kila mtu karibu yetu alijua tu kwamba mwisho wa siku sisi tungefunga ndoa. Hata mama yangu alikuwa tayari anampenda kama mkwe wake.

Tatizo lilianza polepole. Kwanza nilianza kuona mabadiliko madogo. Simu zake zilianza kuchelewa kujibiwa. Ujumbe wangu ulikuwa unasomwa lakini haujibiwi. 

Akiwa na mimi alikuwa kama yuko mbali. Wakati mwingine tunakaa pamoja lakini unaona kabisa mawazo yake hayapo pale. 

Mwanamke ukikaa na mwanaume wako muda mrefu, unajua tu pale mambo yanapoanza kubadilika. Hata bila kuambiwa, moyo unakupa ishara.SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post