Nilikuwa napata mikosi kila mahali mpaka jirani alinishauri tambiko la kusafisha maisha lililobadilisha kila kitu

Jina langu ni Asha. Mimi ni mwanamke wa miaka 34 kutoka Tabora, na kwa muda mrefu nilikuwa naishi maisha ambayo kwa nje yalionekana ya kawaida, lakini ndani yake yalikuwa yamejaa maumivu, kuchanganyikiwa na mikosi isiyoelezeka.

Kuna kipindi nilifika mahali nikawa naogopa hata kujaribu jambo jipya, kwa sababu kila nilichogusa kilikuwa kinaharibika.

Unajua ile hali ya mtu kuamka asubuhi na tayari moyo unamwambia, “Leo tena kuna jambo baya litatokea.” Hivyo ndivyo nilivyokuwa.

Mwanzoni sikuamini kwamba maisha yangu yalikuwa yamebadilika kiasi hicho. Nilianza na biashara ndogo ya kuuza nguo na viatu sokoni. Nilikuwa nimeweka mtaji wangu wote pale. 

Nilijinyima sana mpaka nikakusanya pesa za kuanza. Siku za mwanzo biashara ilionekana kama itasimama vizuri, lakini baada ya muda mambo yakaanza kwenda vibaya kwa namna ambayo sikuielewa kabisa. 

Wateja walikuwa wanakuja, wanatazama bidhaa, wanashika, wanapima, halafu wanaondoka bila kununua. 

Kuna siku jirani yangu wa kibanda alikuwa anauza sana, mimi nikiwa pembeni yake sikuuzi hata kitambaa kimoja. 

Nilikuwa najiuliza, “Tatizo ni nini sasa? Bidhaa zangu mbaya? Bei zangu juu? Au ni nini?”SOMA ZAIDI.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post