Wezi Waliiba Simu Yake Usiku wa Manane, Lakini Ndani ya Saa Chache Wakajikuta Wakipiga Wakiomba Kuirejesha Kwa Hofu Isiyoelezeka!

Je, kuna hasara inayoumiza kama kupoteza simu yenye kila kitu cha maisha yako ndani? Picha, mawasiliano ya kazi, akaunti za benki, hata kumbukumbu za familia. 

Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa Allan, kijana wa IT kutoka Roysambu, ambaye aliibiwa simu yake akitoka kazini usiku lakini kilichofuata kilimwacha mdomo wazi.

Ilikuwa majira ya saa tatu usiku. Allan alishuka kwa matatu na kuanza kutembea kuelekea nyumbani. Ghafla vijana wawili walimzingira. Hawakumpiga sana, lakini walimnyang’anya simu yake ya gharama na kukimbia gizani.

Alibaki amesimama barabarani akiwa haamini kilichotokea.
Hasira, Hofu na Mawazo Mengi

Simu ile haikuwa tu kifaa cha mawasiliano. Allan alikuwa anaendesha miradi kadhaa ya kazi kupitia simu. Ndani kulikuwa na mawasiliano ya wateja wa nje ya nchi na mifumo ya kazi aliyokuwa akiisimamia.

Alikimbilia nyumbani na kutumia laptop kujaribu kufunga baadhi ya akaunti. Lakini wasiwasi haukumwacha. Alijiuliza kama simu ile ingeuzwa mara moja au kufutwa kila kitu.Soma Zaidi.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post