Je, mwanaume akishindwa mara chache chumbani, je, dunia huisha? Kwa wengi, si dunia inayoisha, bali kujiamini ndiko hupotea.
Hii ni simulizi ya Thomas kutoka Nakuru ambaye alijikuta akiishi maisha ya aibu na hofu ndani ya ndoa yake kwa sababu ya changamoto za kushindwa kudhibiti muda kitandani.
Thomas alikuwa ameoa kwa miaka mitatu. Miezi ya mwanzo ya ndoa ilikuwa ya furaha. Lakini taratibu alianza kugundua kuwa hakuwa na udhibiti kama alivyotarajia.

Kila alipokuwa karibu na mkewe, mambo yalimalizika haraka sana. Alianza kuona aibu. Akaanza kuogopa hata kuanzisha ukaribu.
Mkewe hakumkashifu wazi, lakini aliona tofauti. Ukaribu wao ukapungua polepole.
Aibu Iliyomfanya Ajitenge
Thomas alianza kulala mapema au kuchelewa sebuleni akijifanya anatazama runinga. Alianza kutumia kazi kama kisingizio. Ndani yake, alihisi kama hafai kama mwanaume.
Kadri muda ulivyopita, umbali ukaongezeka. Mkewe alianza kuonyesha huzuni. Siku moja alimwambia kwa upole, “Kama kuna jambo linakusumbua, naomba tuzungumze.”
Lakini Thomas alifunga mdomo. Aibu ilimfanya ashindwe kufungua moyo wake.Soma Zaidi.

Post a Comment