Usiku ule ulikuwa wa kihistoria chumbani kwetu kisa dawa hii!

Naitwa Catherine, mkazi wa Sakina, mkoani Arusha. Maisha yangu ya ndoa na mume wangu John yalianza kuingia doa kubwa miaka miwili iliyopita pale nilipoanza kukumbwa na changamoto ya ukavu ukeni wakati wa tendo.

Kila tulipojaribu kushiriki tendo la ndoa, nilikuwa nahisi maumivu makali sana kiasi cha kutoa machozi, kama vile ninachomwa na kitu chenye ncha kali.

Hali hii ilinifanya nianze kuogopa na hata kumkwepa mume wangu kila giza lilipoingia. Nilihisi kupoteza thamani yangu kama mwanamke, na John alianza kunishuku kuwa labda nina mtu mwingine nje anayenimalizia hisia zangu.

John alianza kuwa na hasira za haraka na dharau, akisema mimi ni mwanamke “mgumu” asiyekuwa na ladha wala msisimko. Nilijaribu kutumia mafuta na vilainishi mbalimbali vya madukani hapa Arusha mjini, lakini viliniletea miwasho, mzio na wakati mwingine harufu mbaya iliyozidi kutufanya tuwe mbali.

Ndoa yangu ilikuwa inakufa mbele ya macho yangu, na amani ilitoweka kabisa nyumbani kwetu. Nilikuwa nalia kila usiku kwani sikuwa na mtu wa kumsimulia siri hii nzito ya chumbani.Soma Zaidi.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post