Alidhani Amempoteza Milele Baada ya Kuachwa na Kuambiwa Asimtafute Tena, Lakini Leo Wamerudiana Kwa Furaha Kubwa Kupitia Hatua Moja ya Siri!

Je, kuna maumivu makali kama ya kuambiwa “tafadhali usinitafute tena”? Hayo ndiyo maneno yaliyomvunja moyo Eric wa mjini Kisumu baada ya mpenzi wake wa miaka mitatu kumwacha ghafla. 

Ndoto za harusi zilivunjika, mipango ya maisha ikayeyuka, na kila kitu kilionekana kuisha kwa dakika chache tu.

Eric na Linda walikuwa wamejenga uhusiano wa karibu. Walijuana na familia za kila mmoja, walikuwa wakipanga hata kuchukua mkopo wa pamoja. Lakini migogoro ya mara kwa mara, wivu na ukosefu wa mawasiliano uliwafanya waanze kutengana taratibu.

Siku moja baada ya mabishano makali, Linda alimwambia amechoka na hataki kuendelea na uhusiano. Simu zikazimwa. Mitandao ikamfungwa. Eric akabaki peke yake na maumivu.Soma Zaidi.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post