Biashara ya mazao ni mchezo wa bahati nasibu ikiwa huna nyota ya mvuto. Mimi naitwa Josephat Malima, mkazi wa mji wa Shinyanga na mfanyabiashara wa mazao ya kilimo kama vile dengu, choroko, na pamba.
Kwa zaidi ya miaka mitano, nilikuwa nikipambana mtaani kutafuta masoko ya uhakika, lakini kila nikijaribu, naliangukia pua.

Nilinunua mazao kwa wakulima kwa mkopo, nayahifadhi kwenye maghala, lakini yanakaa mpaka kuanza kuharibika au kuliwa na wadudu kwa kukosa wateja.
Hali hiyo ilinipelekea kuwa na madeni makubwa sana. Benki walikuwa wananitafuta kila siku kwa ajili ya mkopo wa milioni 50 niliouchukua, na wakulima kule vijijini walikuwa wananitafuta kwa mapanga wakidai pesa zao.

Maisha ya mtaani yalikuwa magumu; nikaanza kuonekana tapeli huku nikiwa na bidhaa ghalani lakini soko hakuna.
Umri ulikuwa unasonga, mke wangu alianza kukata tamaa, na hata chakula cha ndani kilikuwa shida huku mamilioni yakiendelea kuoza ghalani.
Nilijaribu kwenda kwa madalali wakubwa wa Dar es Salaam na Mombasa, lakini kila nikiwafikia, walikuwa wananizungusha na mwishowe wakanisema bei ya kutupa, ambayo ingenipelekea kufilisika kabisa.Soma Zaidi.

Post a Comment