Dakika 5 Kabla ya Aibu Kubwa, Simu Iliingia na Kila Kitu Kikabadilika!

Haraka haraka haina baraka. Lakini vipi kama dakika tano tu ndizo zilikuwa zinakutenganisha na fedheha ambayo ingeacha doa la maisha? Hii ni simulizi ya mwanamke mmoja kutoka Nairobi ambaye alikuwa karibu kupoteza ndoa yake hadharani, lakini simu moja ya ghafla ikaokoa heshima yake na kubadilisha mkondo wa maisha yake.

Mary alikuwa ameolewa kwa miaka minne. Kwa nje walionekana wanandoa wa mfano. Picha za mitandaoni zilionyesha tabasamu, safari na zawadi.

Lakini ndani ya nyumba kulikuwa na baridi. Mumewe alikuwa ameanza kurudi nyumbani usiku sana, mazungumzo yakapungua, na ukaribu wa kimapenzi ukawa historia.

Baada ya miezi ya kuvumilia, Mary alijikuta akiingia kwenye mawasiliano ya siri na mwanaume wa zamani aliyewahi kumtongoza. Mazungumzo ya kawaida yakageuka kuwa ya karibu. Mpango ukafanyika wa kukutana hotelini mchana mmoja.

Hakujua kuwa alikuwa anatembea kuelekea kwenye aibu kubwa.Soma Zaidi.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post