Samaki mkunje angali mbichi. Lakini vipi kama umechelewa na tayari umeikuta nyumba yako imejaa usaliti?
Hiyo ndiyo hali iliyomkumba Joseph, mwanaume wa miaka 38 kutoka Kisumu, ambaye alirudi nyumbani mapema siku moja na kukutana na tukio ambalo halikuwahi hata kulifikiria maishani mwake.
Alikuwa ameoa kwa miaka tisa. Ndoa yao ilionekana tulivu kwa nje, lakini ndani kulikuwa na ukimya mwingi, umbali wa kihisia na malalamiko yasiyosemwa.
Alikuwa ameoa kwa miaka tisa. Ndoa yao ilionekana tulivu kwa nje, lakini ndani kulikuwa na ukimya mwingi, umbali wa kihisia na malalamiko yasiyosemwa.
Joseph alikuwa bize na biashara zake, huku mkewe akibaki nyumbani na mfanyakazi wa ndani waliyeishi pamoja kwa miezi sita.
Siku hiyo ndipo pazia lilipoanguka.
Tukio Lililobadilisha Kila Kitu
Joseph alipofungua mlango bila taarifa, alisikia sauti za kicheko kutoka chumbani kwake. Alidhani ni televisheni. Lakini aliposogea karibu, alishtuka. Mlango ulikuwa umefungwa kwa ndani.

Aligonga. Hakukuwa na jibu. Alipojaribu kuufungua kwa nguvu, ndipo alikuta mkewe na mfanyakazi wa ndani katika hali isiyoelezeka.Soma Zaidi.
Post a Comment