Uzuri wa mwanamke siyo sura pekee, bali ni bahati na nyota iliyong’aa. Mimi naitwa Rehema Juma, mzaliwa wa mkoani Tabora, lakini nimeishi miaka mingi jijini Mwanza nikifanya biashara zangu ndogondogo.
Licha ya kuwa na muonekano wa kuvutia na tabia njema, maisha yangu ya mahusiano yalikuwa ni uwanja wa vilio na masikitiko makubwa.

Kila mwanaume aliyekuja kwangu alikuwa akiahidi kunioa, lakini ikifika hatua ya kutoa mahari au kuonana na wazazi, basi hupotea kama moshi.
Nilifikisha umri wa miaka 34 nikiwa bado nipo kwa wazazi wangu, jambo ambalo lilianza kunipa msongo wa mawazo.

Ndugu na majirani walianza kunisema kwa kashfa, wakidai labda nina “gundu” au nimechezewa na washirikina ili nisiolewe kamwe.
Nilijaribu kila mbinu, kuanzia kwenda kwa maombezi hadi kutumia dawa za urembo ili kuvutia wanaume, lakini wapi! Kila mchumba aliyekuja alikuwa anakaa mwezi mmoja na kusema, “Simpendi tena Rehema,” bila sababu ya msingi.
Kila kukicha nilikuwa nalia, nikiona wadogo zangu wote wameolewa na wana watoto, huku mimi nikibaki kuwa mshika kamba kwenye harusi zao. Nilianza kuamini kuwa sitakuja kuvaa shela maishani mwangu.Soma Zaidi.

Post a Comment