Maisha ya mtaani hayana huruma, na hakuna kitu kinachoumiza kama kuamka kila siku ukiwa na shahada yako kabatini huku mifuko ikiwa haina hata senti tano ya kununulia mkate. Mimi naitwa Elias Mshana, mwenyeji wa mji wa Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Baada ya kuhitimu masomo yangu ya Uhasibu mwaka 2017, nilijua milango ya mafanikio ingefunguka haraka, lakini ukweli ukawa mchungu kuliko shubiri.
Kwa miaka saba mfululizo, nilikuwa mtu wa kupiga misele na bahasha za kaki maeneo ya Posta na Kariakoo jijini Dar es Salaam. Nilijaribu kila ofisi, kuanzia za serikali hadi za binafsi, lakini jibu lilikuwa lilelile: “Tutakuvuta.”
Umri ulikuwa unakwenda kasi, nikigota miaka 32 huku nikiwa bado naishi kwenye chumba kimoja cha kupanga ambacho kodi yake ilikuwa inanishinda.

Shinikizo la kifamilia lilikuwa kubwa; wazazi walitegemea nianze kuwasaidia, na mpenzi wangu niliyekuwa naye tangu chuo alianza kunichoka kwa sababu sikuwa na mwelekeo wa kuoa wala kuanzisha familia.
Msongo wa mawazo ulinitawala kiasi cha kuanza kujitenga na marafiki. Nilijiona kama mtu niliyebeba laana au mkosi, maana hata kazi za vibarua vya kawaida zilikuwa zikinizidi kapa.Soma Zaidi.

Post a Comment